Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 halafu anajirekodi malalamiko yake kwa kiingereza

Tume isiyo huru chini ya mkurugenzi wake ambaye ni kada wa ccm kwa kushirikiana na IGP wamewachagulia Watanzania Rais tokea CCM bila ridhaa yao na mpaka sasa wanayo matokeo hata watanzania wasipojitokeza kupiga kura wanayo matokeo mifukoni.
 
Username "rose" jina kamili "Julius Mtendeleki." Ndiyo wale mnaotuletea nyuzi za kuliwa kimasikhara.

Matumizi ya lugha zisizokuwa rasmi ni sawa Ila zilizo rasmi ni taabu?

Utakuwa umesahau namba ya simu mkuu.
Ha ha ha ha ha ha haaaaa
 
Bila wazungu Tanzania hamna kitu😋
 
Uzalendo ni kuiba mali za umma, uzalendo ni kuiba kura? Uzalendo ni kumtumia IGP kuwahujumu chadema? ingekuwa saccos mngehangaika kuwatumia Tume isiyo huru kutengeneza matokeo feki mje kujitangazia tarehe 28 October? Upinzani wa kuiondoa CCM upo hata mwaka 2025 lowasa alishinda mkapindua meza kwa kufanya chenji kota mkajipa Nchi pasipo ridhaa ya wapiga kura, watanzania wa wapi wanaijua ccm kwa wema? Watanzania wote wanaijua ccm inayoiba kura.
 
ccm wanahaha wameanza kuogopa sana ndiyo maana magufuli kaugua Ugonjwa wa moyo karejea Dsm kutibiwa pressure ipo juu mno, anajua akitoka ikulu atahukumiwa kwa mabaya yote aliyotenda baada ya kinga yake kuondolewa kwani ni vigumu kumwachia kinga yake kutokana na udikiteta aliofanya kuwa mkubwa kupitiliza, akiwaza hayo roho inamuuma hadi kutatapa kuwatuma maccm kuja mitandaoni kujiandika chochote juu ya Tundu lisu pasipo kutafakari kwanza na kujua kuwa watanzania wameamka wapo makini kuliko ccm wanavyofikiria
 
Kingereza ni lugha ya Taifa..... And the world also deserves to know this.
 
Hakuna cha Beberu wala cha nini bali ni ujinga imetengenezwa na CCM kuharalisha kupenyeza uzushi wao wa kishamba
Unataka kuniambia hutambua uwepo wa mabeberu wanaotaka kuzinyonya nchi za Afrika kupitia vibara wa kiafrika??

Kama hutambui hili,inatosha kusema imetosha.
 
Tume isiyo huru yote ni ccm IGP ni ccm na wateule wa vyombo vyote chini ya utawala wa ccm wanaisadia ccm kusalia madaraka iweje ccm hawaamini katika sanduku la kura kama kweli wanajiamini wanapendwa.
 
Watanzania wapo makini sana kuliko Chadema mnavyofikiria na kudhania.
 
Unataka kuniambia hutambua uwepo wa mabeberu wanaotaka kuzinyonya nchi za Afrika kupitia vibara wa kiafrika??

Kama hutambui hili,inatosha kusema imetosha.
ccm miaka nenda rudi inaishi kwa kutafuna pesa za hao hao mnaowaita mabeberu baada ya uwashitukia, ccm ina unafiki uliopitiliza kote Duniani
 
Utopolo
 
Asante
 
Tume isiyo huru yote ni ccm IGP ni ccm na wateule wa vyombo vyote chini ya utawala wa ccm wanaisadia ccm kusalia madaraka iweje ccm hawaamini katika sanduku la kura kama kweli wanajiamini wanapendwa.
Haki gani mnataka?

Je ni haki ya kumtukana mgombea wa chama pinzani??

Haki ya kufanya mnayotaka bila kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na Tume ya uchaguzi??

Au haki ya kusisitiza vitendo vya ushoga viruhusiwe nchini??

Haki ipi mnaitaka, tuwapeni.
 
ccm miaka nenda rudi inaishi kwa kutafuna pesa za hao hao mnaowaita mabeberu baada ya uwashitukia, ccm ina unafiki uliopitiliza kote Duniani
Unajua nini Maana ya beberu??
 
Watanzania wapo makini sana kuliko Chadema mnavyofikiria na kudhania.
Wapo makini kuliko CCM ndiyo maana wanaenda kwenye mikutano ya chadema bila kusombwa na mabasi magari ya mizigo, wanakwenda kwa ridhaa zao kusikiliza sera siyo ile mikwara ya magufuli kuwa msipoichagua ccm sitaleta maji barabara kana kwamba pesa za walipa kodi wa jimbo zinatokea chato, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataisikiliza ccm hii ya ajabu tokea kwa wajinga wa Taifa polepole
 
Tambua kila mtanzania anamjua magufuri Vizuri ni nani na kalifanyia nini Taifa hili pendwa "Tanzania".

Inafika wakati hakuna haja tena ya kwenda kujaza nafasi katika viwanja vya kampeni wakati unatambua kipi kinaendelea.

Tundu lissu Wengi hawamjui hata kwa sura tu..So wanaenda kumshangaa huyu mtu anayetumiwa kama kibaraka ni wa namna gani
 
Haki haiombwi ccm haki siyo mali ya ccm haki ni kitu cha lazima kwa watanzania wotee, kanuni zipi zimekiukwa tokea chadema? CCM wamekiuka kanuni kibao ikiwemo polepole kuwatukana wapinzani misukule huku magufuli akipiga vitisho kwa wapiga kura akitoa Rushwa kutumia mawaziri, lini Tume isiyo huru ya ccm imewaandikia barua ya onyo? uchaguzi ukiwa huru na haki ccm bye bye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…