Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Sijaelewa labda. Una maana alipotua airport ilitakiwa abughudhiwe?...Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. ... Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. ...
Mnatoza wamachinga shilingi 20,000 bila kuwapa risiti, hamuoni nyie ndio wakudhibitiwa?Amepewa Uhuru wa kutosha. Adhibitiwe
Kumbe ni kosa! Mbona Carlinhos wa Yanga alikusanya watu pia?Hukuona alivyokusanya watu?
Leo nimeamini hakuna mwanamke ambaye hana wivu.Hukuona alivyokusanya watu?
Sindano zinawaingia vizuri mnoNimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake