Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Nitajie tusi moja tu alilotukanwa JPM...ntakupa zawadi
 
Lissu anajua katika uchaguzi huu anakwenda kuweka rekodi ya kushindwa vibaya kwaiyo ameamua afanye anavyotaka. Kinacho takiwa waendelee kumpuuza siku zenyewe zimesha kwisha.
Watanzania wanajua mama ya kumshikisha adabu Tarehe 28/10/2020

Kama asingewatetea wamachinga wangecheua elfu ishirin ishiri zao za vitambulisho vya kimagumashi?

Kama siyo Lissu wangetangaza ajira 13000 za walimu?
 
Asijione mwamba sana. Uvumilivu wa ccm una mwisho
Vumilia.
IMG-20200922-WA0014.jpg
IMG-20200923-WA0001.jpg
JamiiForums1417619489.jpg
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Lissu ameachwa huru kwa sababu ni muda wa kampeni za uchaguzi ni jukumu la tume kufanya assessment kuona kama amevunja sheria za uchaguzi. Kifupi ni kwamba Lissu tayari ameshashindwa hakuna namna atashinda kura hazitatosha, ameendeleza kuporomosha matusi akijiona anafanya la maana kumbe anakigharimu chama chake chadema. Baada ya ccm kuona chadema hawanadi ilani yao, imebidi wataalamu ndani ya ccm wakaichambua ilani ya chadema walichokikuta ni madudu matupu. Ndiyo maana Lissu anaona aibu kuinadi ilani ameamua kuipotezea na kuanza kutafuta kura za huruma ambazo kwa kweli hazitampa ushindi badala yake anaweza kupata 5% ya kura zote.

Wananchi wameanza kuhoji ilani ya chadema umesheheni nini??, anachofanya Lissu ni kuwaonyesha wanachi ilani na kuwaamuru wakaisome kumbe ndani yake ni aibu tupu. Ilani yao ina mambo ya hovyo hkama haya;
i) Utawala wa majimbo ni wa kilkoloni na kibaguzi
ii) Kuweka dhamana mali za nchi ili kukopa ni kuuza nchi
 
Huko kuto kubughudhiwa ndiko anapokereka Lissu,hapati anachokitaka.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
jibuni hoja za mwamba Lisu,enough is enogh for what,Lisu ni haki yake ana haki zote kama mtanzania,jiwe na ccm ndo hamkutarajia kama Lisu atakuwa na uwezo wa kufanya kampeni kwa kiwango kile,na uzuri Lisu anaeleweka kwa watanzania wote hadi wa kule vijijini siyo sawa na jiwe ambaye yuko kwenye panic mode kwa sasa anarukia rukia tu hoja za Lisu
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Jane wewe ni mwanamke wanawake ndy mama zetu,wake zetu,walezi wetu,Dada zetu .mwanamke ndy mlinzi na mwenye huruma juu ya watoto wake. Inaskitisha mtoto wa mwabamke mwenzako ametendewa unyama na dhuluma za kila namna lakini wewe mwanamke unashabikia badala ya kusema sasa basi unyanyasaji katka nchi hii.
Kwani wewe wewe ulitaka mtoto wa mwanamke mwenzako wamfanye nini wakati anarudi nchini mwake?kwanini wewe ulitaka mtoto wa mwanamke mwenzako wamfanye nini wakati ana haki ya kufanya siasa katika nchi yake kwa mujibu wa katiba tuliojiwekea mwenyewe?
Wewe ulitaka watu walionyang'anywa uhuru na haki zao kwa miaka 5 atoke wapi wa kuwatetea?
Kwanini Jane unashabikia dhuluma? Wewe ni mwanamke mwenye watoto kua fair katika haya!! Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kikombe chake bado hakijajaa. Mwache akijaze vizuri, mpaka kifurumie..
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kosa lake ni lipi???, Hayo matusi ni yapi??, hebu yabainishe hapa, vinginevyo ni chuki tu. Yahani unachukia mtu kuwa huru????..... Yahani unapigania kukosa uhuru?, ajabu kweli kweli.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kwn kusema magufuri anawaibia wamachinga Ni tusi? Kusema kuwa aache ubaguzi Ni tusi?
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Ni mpuuzi tu atakae sema Lissu anatukana,lkn anachofanya Lissu ni kuongea ukweli,Je Jiwe hajajenga uwanja kwao,u Jiwe hakumfukuza CIG kwa sababu ya ukweli Alionao,Je jiwe hajazuia Shirika la ATCL la ndege lisikaguliwe mahesabu yake,Je Jiwe haona au hasikii watu wanaotekwa na wanaouwawa na kutupwa mitoni,Je Jiwe hajui nani alimpiga risasi Lissu,au jiwe haminyi Vyama vya wapinzani na wanahabari,ikwepo na demokrasia
 
Hayo ni makosa ya wasaidizi wake,wanaofanya kazi kwa kujipendekeza. Sio kick ya kukubeba wewe na Lissu. Mimi ni kamanda mwenye akili, sipendi ushabiki.
sasa solution dhidi ya hao wasaidizi ambao ni mataga wenzako na huyo aliyewatuma ni kumpigia kura Lissu hao wezi watupishe full stop.
 
Tatizo hamkuzoea kuwapa uhuru wapinzani kufanya siasa kwa miaka 5!Kwahiyo haya yanapofanyika kipindi hiki cha kampeni mnaona kama maajabu kwakuwa mlizoea mtu akikohoa tu basi anakuwa mahabusu na kesi za uhujumu uchumi,uchochezi mara kupimwa mkojo,hujakaa sawa unahojiwa uraia!
Vumilieni tu spana mnazopigwa!Mpaka tar 28 wengine mtakuwa na maradhi ya moyo😁
 
Back
Top Bottom