Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Hahahahhaaa mpka Sasa Hukujua kwamba Nchii ni Yetu Sote Basi unashida kidogo Ulijua hii nchi ni ya Wachina na Mabeberu MPE Credit Magufuli na Sio Kibarakaa Wa Mabeberu
 
Hahahahhaaa mpka Sasa Hukujua kwamba Nchii ni Yetu Sote Basi unashida kidogo Ulijua hii nchi ni ya Wachina na Mabeberu MPE Credit Magufuli na Sio Kibarakaa Wa Mabeberu
Kibaraka ni wazazi wako na ukoo wenu wa panya
 
Nilikuwa na poteza nguvu zangu kukujibu kumbe umejiunga leo hii jf baada ya kununuliwa ki techno na chakubanga
Yes ila Umesoma Na Kuelewa ukweli Toka Tchno ila wewe unaietumia Simu ya maana dish Kidogo limeyumba
 
Yes ila Umesoma Na Kuelewa ukweli Toka Tchno ila wewe unaietumia Simu ya maana dish Kidogo limeyumba
Nishakupiga ban ili huo upotolo wako uuzungumze na wenzako
 
Hawamuogopi bali wanamdharau. Unajua hauwezi kuargue na kichaa
 
Bro serikali imefanya uungwana sana kwa lisu sababu inatambua bado mgonjwa na ni lazima akapatiwe matibabu uchaguzi ukiisha count on me lazima arudi ubelgiji tena na ndo maana ameacha familia yake

Hiki ndicho serikali imemfanyia lissu. Yaan kwa amakusudi anaipiga makofi serikali ila imemuacha tu kwa kujua kuwa bado hajakaa sawa kichwani
 
Anaye ongea pumba mnamfahamu sana tu wacheni kurusha jiwe kichakani ili muone atatoka mnyama gani

hivi huyu ndo jamaa alisema lowasa hafai alafu akaja kusema lowasa oyeee, ndo mnataka kumpa nchi? ufipa mmeshindwa kumpandisha cheo kama kweli mnadhan anafaaa kuongoza badala yake mmebaki na mbowe mnataka kutuaminisha anaweza kuongoza nchi
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Hivi CCM huu unafiki mtauacha lini wa kumuita mtu mmoja beberu halafu baadae huyohuyo mtu mnamuita mfadhili, muhisani na mshirika wa maendeleo!
 
hivi huyu ndo jamaa alisema lowasa hafai alafu akaja kusema lowasa oyeee, ndo mnataka kumpa nchi? ufipa mmeshindwa kumpandisha cheo kama kweli mnadhan anafaaa kuongoza badala yake mmebaki na mbowe mnataka kutuaminisha anaweza kuongoza nchi
Mlimtukana matusi ya nguoni mzee wa watu bila sababu ya msingi, kisa kahamia cdm.

Leo hii mwenye chama chake ccm kaamua kumrudisha chamani sasa mataga kama wewe ndiyo mnamramba viatu.

Hakika kwa hili lazima nimsifu mwenyekiti wa ccm maana ameamua kuwatia adabu nyinyi watukanaji wakubwa ndani ya chama chenu.
 
Hivi CCM huu unafiki mtauacha lini wa kumuita mtu mmoja beberu halafu baadae huyohuyo mtu mnamuita mfadhili, muhisani na mshirika wa maendeleo!
Wameishiwa hoja hao hawanaga aibu ya kula matapishi yao
 
Tundu Lisu na viongozi wa Chadema wanajua kabisa uchaguzi huu wanakwenda kushindwa kwa aibu kubwa na ndiomaana viongozi wengi wa juu wa Chadema Dalili zote zinaonyesha wamesha kata tamaa.
Unataka wafanyeje?
 
Mabeberu ni kina nani??
Mabeberu ni wiomtuma kuleta machafuko ili watumie nafasi hiyo kutawala nchi kiuchumi. Yeye anaamini bila hao nchi haiwezi kuendelea, lakini katika miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani imethibitisha kwa vitendo maana ya kujitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…