Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Yaani kama wewe ulikuwa hujui kama Tanzania ni ya Watanzania wote hadi uambiwe na Lissu, huna tofauti na Nyumbu anayefuata msafara bila kujua anakoenda ni wapi
 
Mungu ni mwema sana, TL amefanya niamini Mungu ana nguvu kuliko wenye mamlaka yao. TL ni historia bora sana kwa taifa letu.
 
Kule mbugani nyumbu huwa ni wengi kuliko wanyama wengine hata CCM ni wengi kuliko wanachama wengine
Kwahiyo chadema hamtashinda maana ccm ni wengi kuliko vyama vingine
 
Na wale wanaotupwa kwenye visandarusi?
Sijui lakini nadhani hao ni kati ya wale watu wanao uwawa na wenye hasira kali na kuwatupa mitoni na miili yao kuibukia huko inakopatikana. Kuna kesi nyingi za aina hii ambazo hazina majibu.
 
Kwa sasa kuna kundi linaloamini kuwa;
Wao ndio wanaamua kila kitu!
maendeleo yapelekwe wapi na wapi yasipelekwe!
Mbuga za wanyama zijengwe wapi!
Hakuna cha Budget ya bunge wala nini kutokana na spika mwenyewe kushindwa kulisimamia hivyo kuwa na bunge BUTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…