Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Come 28 OktobaLissu akitajiwa walioshiriki kuandaa shambulio lake atazirai kwani watu hao ni watu wake wa karibu sana! Huu si muda wa mambo haya. Uchaguzi utakapoisha atayajua mahakamani kwani wale mashhidi wawili muhimu kwenye kesi waliokuwa wanasubiriwa kurejea nchini sasa wamesharejea nchini.
Kuna kazi kaifanya Magufuli na ni kubwa pia ni mtu wa kawaida sana anayependa kujishusha.Hawezi kumshinda magufuli wala kuwa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania
Mmmm!! Ndio siasa za kizandiki hizo, yaani lisu hana jipya?? Ajira hakuna, uchumi tabani, uhuru wa kujieleza haupo, maisha yamekuwa magumu, wafanyakazi tabani!! Eti hayo yote hana jipya? Yaani ukiwa chama cha mambonga mboga unakuwa na roho ya kichawi!!!Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.
Kiufupi tundu hana jipya
Amefanya kazi nyingi na kupitia hizohizo tutampa kipimo chake oct. 28 ndani ya masanduku.Kuna kazi kaifanya Magufuli na ni kubwa pia ni mtu wa kawaida sana anayependa kujishusha.
Usicheze na mtandao kabisaUkimuuliza saivi anaweza kataa hio tweet sio yeye aliyeandika.
Au anaweza sema aliandika akiwa amelewa au akiwa usingizini .
Shame on this professor
Kwa nini tuchague chadema wakati:Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
Come 28 OktobaKwa nini tuchague chadema wakati:
1. Asilimia 50% ya wabunge na madiwani wake walikihama chama hicho kwa sababu walizosema kuhusu chama hicho?
2. Kwa nini tuchague rais mwenye back up ya mabeberu na ambaye alizunguka duniani kote kuichafua nchi yetu na kuiomba ituwekee vikwazo vya kiuchumi kama Zimbabwe?
3. Kwa nini tusiichague NCCR ya Mbatia au CUF ya Lipumba au CCM ya Wanyonge?
Bila shaka watanzania watachagua kwa usahihi.Kwa nini tuchague chadema wakati:
1. Asilimia 50% ya wabunge na madiwani wake walikihama chama hicho kwa sababu walizosema kuhusu chama hicho?
2. Kwa nini tuchague rais mwenye back up ya mabeberu na ambaye alizunguka duniani kote kuichafua nchi yetu na kuiomba ituwekee vikwazo vya kiuchumi kama Zimbabwe?
3. Kwa nini tusiichague NCCR ya Mbatia au CUF ya Lipumba au CCM ya Wanyonge?
Bora mungu wa ubelgium anatoa hata misaada kwa serikali yetu kuliko huyo kenge wenu wa chatto ambaye anazihamishia rwanda ..yaani yesu wa chattoooKwamba wewe unamtumikia Mungu wa Belgium?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo umma mlio nao ni upi? Au uma wakutafunia viepe?Ndo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia
kabisaa kujishusha mpk chato....Kuna kazi kaifanya Magufuli na ni kubwa pia ni mtu wa kawaida sana anayependa kujishusha.
Huyo Mungu wenu wa Belgium alikupa msaada gani, au umejisikia kubweka tu🤔?Bora mungu wa ubelgium anatoa hata misaada kwa serikali yetu kuliko huyo kenge wenu wa chatto ambaye anazihamishia rwanda ..yaani yesu wa chattooo
Nimesikia mtu anasema Urais ni kazi ngumu kweli, analalamika eti hiyo kazi anajitolea kweliLissu naye atueleze kwa nini alimkimbiza na kumficha shahidi namba moja yaani dereva wake ambaye alikuwa eneo la tukio!!
Nguvu ya umma iko hapa jf labda, Tanzania haijafikia huko mnakoota nyie.Acheni kubwekea huku.Usijipimie kirahisi hivyo! Jaribu kujipa muda kujitafakari ili ujipange kimkakati namna nzuri na Bora ya kujiokoa pale nguvu ya umma inapokuwa imechukua nafasi!
Mifano unayo ya misri, Tunisia, Malawi, Sudan na Belarus! Unadhani viongozi waliolazimishwa kuachia madaraja hawakuwa na wafuasi? Sasa, wewe ni Nani wa kupambana na nguvu ya umma?