Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Huyu mzee hajawahi kujipa nafasi ya kujitathimini Kama anatosha na anafanya vyema badala Yake kaacha wasaka tonge na waimba mapambio wamtathiminie huku yeye akinywa mvinyo!

Wanaomwangusha na kumdanganya ni haohao waimba sifa na kwa hakika wengi wao hawampendi na wanamfitinisha kisomi bila kuacha alama ya kushukiwa!

Ona wanamvyomwachia jukwaa ajimalize mwenyewe! Na Leo kajimaliza haswaaa!
 
Lissu akitajiwa walioshiriki kuandaa shambulio lake atazirai kwani watu hao ni watu wake wa karibu sana! Huu si muda wa mambo haya. Uchaguzi utakapoisha atayajua mahakamani kwani wale mashahidi wawili muhimu kwenye kesi yake waliokuwa wanasubiriwa kurejea nchini sasa wamesharejea nchini.
 
Lissu akitajiwa walioshiriki kuandaa shambulio lake atazirai kwani watu hao ni watu wake wa karibu sana! Huu si muda wa mambo haya. Uchaguzi utakapoisha atayajua mahakamani kwani wale mashhidi wawili muhimu kwenye kesi waliokuwa wanasubiriwa kurejea nchini sasa wamesharejea nchini.
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 
Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.

Kiufupi tundu hana jipya
Mmmm!! Ndio siasa za kizandiki hizo, yaani lisu hana jipya?? Ajira hakuna, uchumi tabani, uhuru wa kujieleza haupo, maisha yamekuwa magumu, wafanyakazi tabani!! Eti hayo yote hana jipya? Yaani ukiwa chama cha mambonga mboga unakuwa na roho ya kichawi!!!
 
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
Kwa nini tuchague chadema wakati:
1. Asilimia 50% ya wabunge na madiwani wake walikihama chama hicho kwa sababu walizosema kuhusu chama hicho?
2. Kwa nini tuchague rais mwenye back up ya mabeberu na ambaye alizunguka duniani kote kuichafua nchi yetu na kuiomba ituwekee vikwazo vya kiuchumi kama Zimbabwe?
3. Kwa nini tusiichague NCCR ya Mbatia au CUF ya Lipumba au CCM ya Wanyonge?
 
Bila shaka watanzania watachagua kwa usahihi.
 
Ndo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia
Huo umma mlio nao ni upi? Au uma wakutafunia viepe?
 
Bora mungu wa ubelgium anatoa hata misaada kwa serikali yetu kuliko huyo kenge wenu wa chatto ambaye anazihamishia rwanda ..yaani yesu wa chattooo
Huyo Mungu wenu wa Belgium alikupa msaada gani, au umejisikia kubweka tu🤔?
 
Lissu naye atueleze kwa nini alimkimbiza na kumficha shahidi namba moja yaani dereva wake ambaye alikuwa eneo la tukio!!
 
Lissu naye atueleze kwa nini alimkimbiza na kumficha shahidi namba moja yaani dereva wake ambaye alikuwa eneo la tukio!!
Nimesikia mtu anasema Urais ni kazi ngumu kweli, analalamika eti hiyo kazi anajitolea kweli
cha ajabu hataki kuiacha amewafukuza chama mpaka waliotaka kugombea nae huko ccm.... nimemkumbuka mtu mmoja anaitwa Chief Nanga kwenye kitabu cha “A Man of the people.”
 
Usijipimie kirahisi hivyo! Jaribu kujipa muda kujitafakari ili ujipange kimkakati namna nzuri na Bora ya kujiokoa pale nguvu ya umma inapokuwa imechukua nafasi!
Mifano unayo ya misri, Tunisia, Malawi, Sudan na Belarus! Unadhani viongozi waliolazimishwa kuachia madaraja hawakuwa na wafuasi? Sasa, wewe ni Nani wa kupambana na nguvu ya umma?
Nguvu ya umma iko hapa jf labda, Tanzania haijafikia huko mnakoota nyie.Acheni kubwekea huku.
 
Back
Top Bottom