LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa heehee, inaitwa mwaga mboga tumwage ugali. bora kuanza upyaππ, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapiπ²? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.πΆπΆπΆπΆ
Mambo ya muhimu siku zote hutofautiana na upeo wa msikilizaji binafsi. Kwa mtu ambaye tangu azaliwe hajawahi kuwa na maji karibu na nyumba aliyozaliwa siku akipata uhakika wa maji safi kwake hilo ni jambo la muhimu sana.Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.
Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Kwann huyu na siyo mgombea urais kupitia CCMImagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Kama kura za huruma ni simple namna hiyo kamshauri Meko awaalike wasiojulikana wammiminie risasi 100 kisha naye azitumie kupata kura za huruma.Lissu atazipata kura kadhaa za huruma. Ametumia nguvu kubwa katika kuzitafuta.
Hawa jamaa wanadhani Magufuli Hana wafuasi wanaoweza kuingia road, acha twende nao sambamba.Haahaa heehee, inaitwa mwaga mboga tumwage ugali. bora kuanza upya
Joni kwanza, muliwafukuza? Na youtube je? Chadema media Nani kaifungia?
Rais wako hana urafiki na wanaokula keki ya taifa pasipo wazalendo kupewa kipaumbele. Ukishakuwa kibaraka wa wakoloni tegemea siku moja kujutia maamuzi yako.Kama kura za huruma ni simple namna hiyo kamshauri Meko awaalike wasiojulikana wammiminie risasi 100 kisha naye azitumie kupata kura za huruma.
Utube ndiyo nini?Tbc simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
Majibu yake hayo maswali, MATAGA wote hawawezi kuyajibu kamwe! Na jiwe hata mshobokea tena lisu, kwani nondo hizo!!!Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Wanadhani wapo peke yao hao tanapaππ, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapiπ²? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.πΆπΆπΆπΆ
πππππππUnafikiri yeye haingii humu!?
Ni maswali mawili tu, atajuta kuyachokoza!!Majibu yake hayo maswali, MATAGA wote hawawezi kuyajibu kamwe! Na jiwe hata mshobokea tena lisu, kwani nondo hizo!!!