Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

😂😂, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi😲? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.🚶🚶🚶🚶
Haahaa heehee, inaitwa mwaga mboga tumwage ugali. bora kuanza upya
 
Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.

Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Mambo ya muhimu siku zote hutofautiana na upeo wa msikilizaji binafsi. Kwa mtu ambaye tangu azaliwe hajawahi kuwa na maji karibu na nyumba aliyozaliwa siku akipata uhakika wa maji safi kwake hilo ni jambo la muhimu sana.

Muuzaji samaki wa Ukerewe aliyezoea kupoteza ndugu zake ziwani kwa sababu ya mitumbwi siku akianza kupanda meli kwake hilo ni suala muhimu sana.

Vitu vyepesi kwa mtu mmoja lakini kwa mwingine ni vitu muhimu sana.
 
Kama kura za huruma ni simple namna hiyo kamshauri Meko awaalike wasiojulikana wammiminie risasi 100 kisha naye azitumie kupata kura za huruma.
Rais wako hana urafiki na wanaokula keki ya taifa pasipo wazalendo kupewa kipaumbele. Ukishakuwa kibaraka wa wakoloni tegemea siku moja kujutia maamuzi yako.
 
Hahaa lissu mwepesi sana kuondolewa kwenye reli,atapata tabu sana mwaka huu,spana kidogo anazungumzia risasi
 
😂😂, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi😲? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.🚶🚶🚶🚶
Wanadhani wapo peke yao hao tanapa
 
Back
Top Bottom