Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

TBC wana ccm tu hata Leo walikuwa wawaonesha ccm wanamulika kamera pande zote lakini ilipofika zamu ya ACT wakawa wanamulika meza kuu tu huku wananchi hawaonekani pia kama sauti ya bwege waliikatisha
Tbc simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
 
😂😂😂😂😂 sawa tutaona, tuombe uhai.
 
Azungumzie wale wanacdm wenzake waliolundikana Nairobi kwenda kudoea uji wa mgonjwa. Mbowe ilibidi Bunge wamnyang'anye gari na dereva wa serikali. Lissu anajua haya yote?
 
Mi na wasi wasi na waliomfanyia veting jiwe kuwa raisi!sidhani kama wana akili timamu!!huwezi mpa kichaa rungu atapiga hadi watoto wadogo bila sababu!!!

JPM alijifanyia vetting mwenyewe kupitia uchapa kazi wake. Na ndio utakao mbeba mpaka kesho kama Kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
 
Kwahiyo Lisu kumbe ndio alikuwa msaliti?
 
Magufuli aache unafiki na kutuona watanzania wajinga.
Amemtesa sana Lissu, kujipendeza sasa kwa Lissu kutamtokea puani. Mungu hamfichi mnafiki.
Hatuwezi kukusamehe Magufuli jinsi ulivyomtumia Ndugai kumuadhibu Lissu.
Kila ubaya utalipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…