Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Kwani wewe ukichukua kadi ya CCM au usipochukua unadhani CCM au Magufuli anapungukiwa na nini?
 
“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,

Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu.

"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe. @TunduALissu

t.co / Twitter

Kafika bei tayari.
 
Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.

Kiufupi tundu hana jipya

Na yeye anarudia rudia kama wale wanaorudia hadithi za maflyover, ndege, bwawa nk. Au kunya anakunya kuku, akinya bata kaharisha?
 
Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.

Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Hatuhitaji kiongozi muongeaji ongeaji, tunamtaka kiongozi mtendaji, na Magufuli kwenye utendaji hakuna wa kumfikia.

Magufuli oyeee.
 
[emoji23][emoji23], Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi[emoji44]? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,

Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu.

"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe. @TunduALissu

t.co / Twitter

Mwanakulitafuta mwanakulipata.

Magufuli ajifunze kutokumvaa Lisu maana hamuwezi hata kidogo
 
Staki kuamini JPM akipiga zake kampeni LISSU

Anavaaga earphone anamsikiliza kimya kimya

aisee MAGU ni mukare yaoo,Rais yanguuu.baba

LISSU endelea hvyo hvyo sikiliza sumu za J.P.M

#Lissuumebugi
 
Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Bado uwanja wa chato alioujenga bila kufuata mahitajinya taifa na mbaya zaidi bila burget yake kupitishwa ba Bunge...

Bado ndege zake hizo...zingine za udalali...
 
“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,

Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu...
Haya ndio wataambiwa wana Ikungwi, na yule mlamba makalio ya bosi wake ili apate cheo na mtoa kafara watoto yatima anao jifanya anawalea yeye anayesema Lissu ameshapewa advance amechanganyikiwa
 
Mshaurini Lissu aachane na kampeni na maneno ya MUKULU "father house"

mwambieni apambane na hali yake,anavyoendelea kufanya reference ya anachokiongelea

PREZIDAA anakosea sana anajipotezea point kizembe sana,mwambieni Afanye kampeni

kama vile hamna RAIS hii nchi,asifanye kampeni kumsema au kunukuu yaliyopita,mimi sijui

hao wanaomshauri LISSU vyakuongea n akina nani,muandikieni basi vyakuongea maana huyu mtu wenu

anaonyesha hayupo sawa bado,yani bado kbsa kuna vitu LISSU anahtaji kusaidiwa,Msaidieni basi "mbona inawezekana"
 
Back
Top Bottom