Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Wosia Uandike wewe, sisi tuna uhakika wa kuendelea kubaki madarakani na Dola yetu.[emoji23]
Ukimuuliza saivi anaweza kataa hio tweet sio yeye aliyeandika.Imagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Kwani wewe ukichukua kadi ya CCM au usipochukua unadhani CCM au Magufuli anapungukiwa na nini?Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Kafika bei tayari.“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe. @TunduALissu
t.co / Twitter
Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.
Kiufupi tundu hana jipya
Asipojibu tapigia ofisiniAsipolijibu utapiga chooni kama kawaida yako!
Hatuhitaji kiongozi muongeaji ongeaji, tunamtaka kiongozi mtendaji, na Magufuli kwenye utendaji hakuna wa kumfikia.Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.
Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Ni MAGUFULI sio MAGUFURI.I stand with magufuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi[emoji44]? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mwanakulitafuta mwanakulipata.“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe. @TunduALissu
t.co / Twitter
Kilichowaponza TBC ni ile kazi ya kuchakachua matangazo mliyowatuma.Tbc simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
Bado uwanja wa chato alioujenga bila kufuata mahitajinya taifa na mbaya zaidi bila burget yake kupitishwa ba Bunge...Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16...
Haya ndio wataambiwa wana Ikungwi, na yule mlamba makalio ya bosi wake ili apate cheo na mtoa kafara watoto yatima anao jifanya anawalea yeye anayesema Lissu ameshapewa advance amechanganyikiwa“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu...
Wewe endelea kutajirisha wahindi huko,ndicho uwezacho,kamari.Hawa jamaa wanadhani Magufuli Hana wafuasi wanaoweza kuingia road, acha twende nao sambamba.