Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

mwaka huu mtafute kazi za kufanya majengo yote na viwanja vyote mtarudisha Serikalini.
 
Hujui siasa wewe. Siasa lazima ufanye counterattack. Magu kaongea kisiasa kugain political milage. Lisu asipojibu kama lilivyokuja anampa point opponent wake. Kwa kujibu hivyo anazidi kupata points na kupunguza points za opponent wake. Fikiria angekaa kimya, siku akienda Ikungi angekua na hoja zipi juu ya Magu. Huo ndo mchezo wa siasa.
 
Hebu niwaambie jamani. Ukisikia mtu anasema eti TL asifanye kupigwa kwake risasi kuwa mtaji wa kisiasa, au asifanye tukio hilo kuwa la kitaifa, n.k, jua kuwa watu kama hao wanasutwa na nafsi zao kila wakisikia Lissu anataja habari hio. Watu hawa nawaambia hivi: Mwambieni huyu shetani mwovu aliyetuma wale wakora kumpiga TL risasi amwombe msamaha. Ni hivyo tu, la sivyo mtaendelea kusononeka hadi kaburini!
 
Lisu ni mtu mwenye maneno yanayopenya kwenye mioyo ya watu. Usimpe muda Lisu, atakushawishi tu. John naye soon atashawishika na kukubali matokeo. Subiri uone baada ya tarehe 28/10/2020
Hata kwa hoja alizoziongea huko Ikungi inaonyesha ameanza kumkubali.
 
Kwani watu Dodoma walijaa kwa ajili yake au ni kwa ajili ya burudani za bure? Hao cdm unawatolea mfano wa Mbagala tu, kwani mkutano wa kampeni wamefanya Mbagala tu mpaka sasa?

Nimetolea mifano ya mikutano ya uzinduzi.
Ama ulitaka nitoe mfano wa mikutano ya Ikungi kijijini. Nayo iko pia. Karata ya uchaguzi mkuu 2020 mliyo isubiria kwa hamu nyie wapinzani wa JPM imebuma. Mtafute chengine.
 
" Ukipigwa Kofi shavu moja, we we jibu kwa kupiga mashavu yote mawili" Tundu Lissu akiwa Iringa
 
Badala ya kutafuta wauaji police wanatafuta dereva. Ririiiiioooo IGP
 

 
Anhaa, kumbe wauaji wakubwa nyie, nilitaka ufike mahali ukiri

Mmeua watu kwa Miaka 5 mnafikiri you Can carry that on,eh? Ueni sasa tuone
Ona Ulivyo na kiherehere Sasa, wapi apo nimesema kuua, au kutobo ndo kinakusumbua...? Kwaakili yako Chadema anaeweza kuishinda CCM? Tunawasubiri tu muanze kutekeleza kauli ya raisi wenu, kuingia barabarani. Hatuwezi kukubali tuipoteze Aman ya nchi yetu kisa nyie.!
 
Lisu ni mtu mwenye maneno yanayopenya kwenye mioyo ya watu. Usimpe muda Lisu, atakushawishi tu. John naye soon atashawishika na kukubali matokeo. Subiri uone baada ya tarehe 28/10/2020
Mara paap Magufulianz anajitoa kugombea urais, anaamua kumuunga msomi wa Kweli Tundu Lisu , vibaraka wake wakina Mwifoot Mchemba sijui sura zao wataweka wapi.
 
CCM wamesharidhika na mambo mepesi.

Hakuna hoja nzito za maana wanaweza mpa mgombea wao.

Wanajua wazi, walichofanya miaka mitano iliopita ni ziro.
 
Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Alipambana na Lowasaa bu...bu 2015...Lissu kiboko yake...na kibaya zaidi hajazoea criticism kwa kunyamazisha wapinzani
 

ccm bwana mtatuma police au mtadeal na watu ? sina chama ila upumbavu wa ccm umepitiliza kipimo, na ndio mana majitu nlokuwa nasoma nayo yaliokuwa yanashika mkia wote wapo ccm mpaka huwa nawacheka kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usijipimie kirahisi hivyo! Jaribu kujipa muda kujitafakari ili ujipange kimkakati namna nzuri na Bora ya kujiokoa pale nguvu ya umma inapokuwa imechukua nafasi!

Mifano unayo ya misri, Tunisia, Malawi, Sudan na Belarus! Unadhani viongozi waliolazimishwa kuachia madaraja hawakuwa na wafuasi? Sasa, wewe ni Nani wa kupambana na nguvu ya umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…