Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana Nini? Mbona kuna hofu Kubwa ameileta kwa watawala na wananchi?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana Nini? Mbona kuna hofu Kubwa ameileta kwa watawala na wananchi?

Unaposema hofu kwa watawala umeona nani kapata hofu.? Je umeona serikali imeshindwa kutekeleza shughuli zake?

Kama corona inayotikisa dunia hadi leo haikumsumbua magufuli kuna nini kinachoweza kumsumbua tena?
 
TL Ni kiboko ya Magufuli..alijifanya bulldozer akakutana excavator PC8000

Lazima apate wenge na sonona juu!
 
Naamini mashambulizi yakianza kwa nguvu zote... kuanzia kina sheikh ponda na wengine wakiongozwa na lisu... walah patakua hapatoshi.... mashambulizi yawe makali na yenye evidence za kutosha....
 
Unaposema hofu kwa watawala umeona nani kapata hofu.? Je umeona serikali imeshindwa kutekeleza shughuli zake?

Kama corona inayotikisa dunia hadi leo haikumsumbua magufuli kuna nini kinachoweza kumsumbua tena?
Upinzani
 
Bila kumpamba humu, lissu hauziki.
Mmempamba wa kwenu kwa miaka mitano na bado hapambiki.mpaka lro anahangaika kuzima habari Lissu asisikike lakini amekwama. Social media pekee zimezidi hayo matv na maredio.

Mlisahau kuwa siku hiI habari zinapatikana kwenye social media kabla hata ya magazeti, redio na tv.

Hapa sio Rwanda mtanyoka tu.
 
Kwa suala la maendeleo ya watu, ni jambo ambalo watawala wamekuwa wakilihubiri kwa maneno matupu, lkn ndiyo sasa wanetambua kuwa walikuwa wakiishi ktk hisia zaidi ya matendo. Wanaogopa ukweli huu sasa unakwenda kuwekwa bayana.
IMG-20151022-WA0031.jpeg
 
Back
Top Bottom