Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana Nini? Mbona kuna hofu Kubwa ameileta kwa watawala na wananchi?

Kwakifupi Hatoguswa wala kubuguziwa, asije akafikiri ameshindwa uchaguzi kwa sababu alikamatwa au kusumbuliwa.

Atashindwa wima
Magufuli hawezi kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu , atajaribu kugoma kukabidhi madaraka lakini hatimaye atalegea .
 
Tunajiuliza hasa ni nani alimponya Lissu, ni Mungu au shetani, na je, kwa makusudi gani. Japo hakufa ni kama amefufuka, ili iweje?
Tena tunajiuliza ni nani alitaka afe na kwa sababu gani na anamlaumu nani kwa kutokufa na je sasa anawaza nini.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hawezi kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu , atajaribu kugoma kukabidhi madaraka lakini hatimaye atalegea .
Mungu aliyemponya ana makusudi yake ambayo mwadamu hawezi kuyazuia. But lazima reaction itokee dhidi ya aliyeponywa na hii haishindi kusudio la Mungu. Mtu mwema atatangaza utukufu wa Mungu mponyaji kinyume chake atajaribu kuweka vikwazo mfu. Ee Mungu na iwe kama ulivokusudia!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
CCM itashinda kwa mikakati ilioweka. Ilijua fika Lisu atagombea. Mkakati wa kwanza ni kuminya mikutano ya kisiasa na vyombo vya habari. La pili ni kumtoa CCM Membe na kumpachika upinzani. Mgawanyo wa kura kwa wagombea hao 3, pamoja na vyombo vyote vya dola, NEC ikiwemo, vikiibeba CCM ,atakae shinda ni CCM.
 
Wananchi ndo mnaodhani serikali Wana hofi nae lakini kwa lugha nyororo , "Hatumuogopi" neno lissu halipo kwenye kamusi yetu ya uongozi wa ngazi za juu ukitoa ubunge.
#Hatumchukii ,tunamdharau
Na hiyo dharau ya machoni huku moyoni dola linatetemeshwa kila kona, ndicho kiawaumiza viongozi walio madarakani. Matokeo mnatumia nguvu na hela nyingi kupata ushindi na kutuacha hoi wananchi. Fika kituo cha polisi leo, halina huduma, wote wapo mitaani.
 
waliomtendea TL ubaya sasa hv wanaweweseka tuu...wengine wamebaki kuwa waropokaji (usiniulize jina!) wengine wanakataliwa hadi na wajumbe tena wa kiga..mbooni!!!.
 

Mkuu kosa lako kubwa Ni kuongelea Serikali na viongozi Wake. Maneno matupu vs vitendo. Hofu unayo wewe. Na unazidi Kujaa hofu kwa kuwa umeona wakuu wamekaa kimya hawahangaiki na huyo mkuu wako. Ni Hii huwa inaumiza sana. Ila Utashangaa Mark my words. Leo tarehe 26.08.2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…