Uhaini!!
Habarini Wana Jamii Forum, kunajambo naombeni mnijuze kwa wenye uelewa juu ya hili swala la (uhaini)...., na kwanamba Gani Lina matokeo hasi katika siasa za nchi, na je vyombo vya kisheria pamoja na serikali vinazungumziaje kuhusu wahaini? Yani hukum kama mtu akibainika na uhaini...
Kwa kumakizia, je? Tundu Lissu anahusika vipi na swala la uhaini?.. na vipi kama ikaonekana amehusika moja kwa moja anaweza kubwa na adhabu Gani ? Je, swala hili linaweza kuhusianishwa moja kwa moja na uchaguzi mkuu wa uraisi 2025,