Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajikoroga

kudangwa wachwa anidanganywe lakini siwez kumpinga na kumkataa kabisa utaratibu huu tunaishi nao kwa sasa naona ni bora kuliko na hata mpinzani huyu lissu hawez fanya hata robo haya aliyo yafanya maguli,
Hawezi kwasababu gani wakati bado hajapata nafasi yakuongoza.Hakuna sababu yakukudanganya wakati ni kiasi cha wewe kutoka usingizini nakuamua kushughulisha kichwa chako kuona je anayoyasema lissu yanawezekana na kama yanawezekana How?.
 
Kumsikiliza Lissu inabidi uvute bangi kwanza; tena lile ambalo halijakauka sana. Aliweka pingamizi kwa Magufuli na Lipumba kuwa hawakujaza fomu vizuri hivyo hawaruhusiwi kugombea uraisi, baadaye akasema wagombea ubunge wa CHADEMA na ACT ambso wameeungliwa kwa kutojaza fomu vizuri walitakiwa wasaidie na tume kujaza fomu hizo wasienguliew.
 
Kuongoza au kusimamia nchi ni tofauti na mipango ya mtu binafsi.Nchi lazima iwe na Dira na mipango na mikakati yakuifikia dira hiyo nalazima ziwe ndani ya utaratibu maalum.Sasa kama magu anaimba swala la kujitegemea je niambie kwa kipindi chake cha miaka 5 kuna viashiria gani vinaonyesha kua lengo nikufika kujitegemea.
ww mpka sasa umeshakamilsha mangapi amabayo umeyapanga /me naona unabishana na upepo mkuu kama ww leo huona magufli kafanya nn bas hutoweza kuona la mwingine yoyote yule atakae kuja kuongoza nchi hii
 
Hawezi kwasababu gani wakati bado hajapata nafasi yakuongoza.Hakuna sababu yakukudanganya wakati ni kiasi cha wewe kutoka usingizini nakuamua kushughulisha kichwa chako kuona je anayoyasema lissu yanawezekana na kama yanawezekana How?.
mkuu kwa sera gani za lissu kubinafsisha mali za uma yan turud kwa mkapa tukilo toka.
 
Lissu ANAWEWESEKA anavyopenda mtandao Sasa Atakuwa Anaweweseka na NYOMI LA MWANZAA MAANA KUMETAPIKA HUKU
 
Hata miundombinu yenyewe iko wapi? Kila mradi aliouanzisha hajamaliza.
 
kudangwa wachwa anidanganywe lakini siwez kumpinga na kumkataa kabisa utaratibu huu tunaishi nao kwa sasa naona ni bora kuliko na hata mpinzani huyu lissu hawez fanya hata robo haya aliyo yafanya maguli,
Magufuli kafanya vitu vya kawaida ambavyo kila Rais alifanya kwa nafasi yake. Worse enough huyu Magufuli pamoja na yote amevuruga uchumi, wananchi wamekuwa maskini kuliko miaka 25 iliyopita. Usimuamulie Tundu Lissu kwa kuwa hajawahi kuwa Rais
 
Huyu jamaa bado mgonjwa na bado ana uchungu alikuwa anahitaji kwanza utulivu wa moyo na natural na spiritual counselling.Yupo katika wakati mgumu sana kwa kusema ukweli hivi isingekuwa kupigwa risasi na huruma ya watu kwa hilo.Akiwa ni.vijijini kuna kitu gani anawaambia ambacho watampenda.analalamika muda wote na kutukana watu
 
nimegundua mgombea lissu anadharau akili za wapigakura wake.
 
Mkuu Lissu anatumiwa na chama chake kwa nia ya kuongeza majimbo ili ruzuku iwe nene miaka mitano ijayo.

Mwenye kumtumia siku akifanikiwa kukipata akitakacho kutazuka mtafaruku mkubwa. Ni siasa zile zile za malengo yaliyojificha.
Hawajuwi wachaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…