johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasemekana kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema wakili msomi Tundu Antipas Lisu anamuunga mkono Cecil Mwambe kwa nafasi ya mwenyekiti.
Tetesi kutoka korido za Ufipa zinadai Tundu Lisu anapendelea zaidi kufanya kazi chini ya Mwambe kwa sababu siasa za zama hizi hazitaki mambo ya usiri usiri na Mwambe ni mtu muwazi hata awapo bungeni.
Inasemekana hata Kubenea aliyepo kambi ya Lisu amejitoa baada ya kujiridhisha na msimamo wa Lisu ambaye awali baada ya kupoteza ubunge alitamani kuhamia ACT wazalendo kwa rafiki yake Jussa
Hivi vyama ni vya umma ruzuku ni kodi za wananchi
Maendeleo hayana vyama!