Huyu bwana alikuwa nje kwa masuala ya kesi yake. Na nchi ilikuwa imepoa utadhani imepigwa ganzi. Mh.Mchengerwa alikuwa katika harakati zake za kuvuruga uchaguzi, na hakuna yeyote aliyekuwa na ujasiri wa kukabiliana.
Tundu Lissu aliporejea na hali aliyotukuta nayo Watanzania akatoa tamko kali kukemea madhaifu yaliyokuwa yakiendelea. Baada ya kauli ya Lissu ndipo tulipomuona Katibu Mkuu wa CCM akikurupuka na kukiri kuwa Tamisemi wanaendesha mchakato wa uchaguzi ndivyo sivyo. Maaskofu nao wamepata ujasiri wa kudai Tamisemi itende haki, na isiwadhulumu Watanzania.
Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa ambaye akizungumza kauli zake zinafuatiliwa na kutiliwa maanani. Tundu Lissu ana ushawishi kumzidi hata Raisi Samia Suluhu, na kamati kuu ya Ccm.
Hakika Tundu Lissu sasa amekuwa kama ndiye Baba, na mzazi, ktk taifa la Watanzania.