Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

Mkuu hebu assume Lucas Mwashambwa mwandiko wake hata akiutaipu bado ni mchafu je akiandika kwa mkono wake itakuwaje.
 
Japo simsapoti Lissu lakini sisi CDM hatuna mambo ya kukatana majina au ushenzi wa kupita bila kupingwa kama huko CCM.
 
CHADEMA wasipofuata huu ushauri wako WAMEKWISHA. Mbowe asome huu uzi kwa makini.
 
Yeye ndiye kajitenga na mimi itakua ashapata mchumba mwingine kwao Mbozi.
Leo ndo nimeona ulijiunga humu 2009šŸ™Œ
Na mimi sitaki kumjibu vibaya maana huyo ni mpiga kura wetu ephen. Kwa hiyo ni lazima ujue katika kundi la wapiga kura kuna wengine ambao akili zao hazisomi . Si unajua ukiwa kiongozi inatakiwa uwe na ngozi ngumu.sasa mimi ni kiongozi wa kesho na wewe ni Mama Mheshimiwa wa kesho mtarajiwa.
 
Hujaacha tu porojo zakošŸ˜‚
 
Ukiweza kukata la mwenyekiti wako hapo pia utaweza kata la TL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…