Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

Yeye ndiye kajitenga na mimi itakua ashapata mchumba mwingine kwao Mbozi.
Leo ndo nimeona ulijiunga humu 2009🙌
Mara ya pili unatoa comment hii ya mimi kujiunga kitambo humu siyo kama huyo kifaduro kajua kutumia smartphone 2022 basi ndiyo halali kutwa kucha kujaza mabandiko yake uchwara humu.
 
Mara ya pili unatoa comment hii ya mimi kujiunga kitambo humu siyo kama huyo kifaduro kajua kutumia smartphone 2022 basi ndiyo halali kutwa kucha kujaza mabandiko yake uchwara humu.
Kumbe nishawahi kuona nilisahau
Lucas ni kijana wa 2000
 
Hujaacha tu porojo zako😂
Kwa sasa ndio kwanza kila nikilala nakuota wewe ukiwa unawapa zawadi na tabasamu akina mama.na kujitambulisha kuwa wewe ni Mrs Mwashambwa na umekwenda kuwapa tabasamu kwa kuwapa mitaji ya kufungulia biashara ndogondogo ili waweze kulea vizuri watoto wao.
 
Wewe ni mwanachama wa Chama gani, ulikuwa unamponda Mbowe Leo unamtaka kakupa Nini?
 
Wewe huna uwezo wa kumuongoza mtu ndiyo maana unashinda humu kuomba teuzi fala wewe.
 
Wewe huna uwezo wa kumuongoza mtu ndiyo maana unashinda humu kuomba teuzi fala wewe.
Wewe endelea kutukana tu matusi yako utafikiri mlevi.Mimi sijibugi matusi wala kutukana matusi. Siwezi kukutukana tusi hata unitukane vipi.kikubwa usimguse ephen wala kumsogelea .maana utapigwa mbele ya bendera ya kituo cha polisi na asiwepo wa kukusaidia.
 
Kumbe nishawahi kuona nilisahau
Lucas ni kijana wa 2000
Huyo bado ana papara za kutaka uteuzi wakati hata chama chenyewe hakijui na kacheti kake ka umbea nani atampa kazi ya maana. Haya mabandiko yake humu ya kusifia saaaana hadi anayesifiwa anaona kama anakejeliwa ndiyo yanamchelewesha.
 
Kunichelewesha kwenda wapi dogo.
 
Huyo bado ana papara za kutaka uteuzi wakati hata chama chenyewe hakijui na kacheti kake ka umbea nani atampa kazi ya maana. Haya mabandiko yake humu ya kusifia saaaana hadi anayesifiwa anaona kama anakejeliwa ndiyo yanamchelewesha.
Mimi namuombea apate teuzi kwa kweli🥹
 
Kama mpigavyo kwenye chafuzi mbele ya bendera na picha zileeee.amaaa?
 
Kumbe hata Kiswahili lugha ya taifa hujui,kuna tusi gani hapo? Au kutoa wasifu wako ndiyo tusi? Wewe bado sana ulitakiwa urudi Mbozi ukale tu maparachichi hadi akili ziongezeke kidogo.
 
Ikiwa chadema inabomoka, haifai kuwa na maumivu ilihali kustawi kwake kunakiumiza chama pendwa. Unaipenda ccm, na unaumizwa na cdm. Kulikoni unaguswa, umia ?! Bandiko lako lina ukakasi!
 
Kumbe hata Kiswahili lugha ya taifa hujui,kuna tusi gani hapo? Au kutoa wasifu wako ndiyo tusi? Wewe bado sana ulitakiwa urudi Mbozi ukale tu maparachichi hadi akili ziongezeke kidogo.
Kwani siku hizi hayupo tena Mbozi?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…