Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

Lucas umo CCM na umo CHADEMA 😳
Akikujibu ulete mrejesho hapa,ilanilivyojijulisha ni kuwa yupo kijana na chadema ametolewa kwa mkopo,dirisha dogo la uchafuzi kwa hisani ya kijani.
 
Samsojo Lucas Mwashambwa hebu soma na huu uzi

Thread 'Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe.' https://www.jamiiforums.com/threads/tahadhari-tatizo-la-lissu-ana-muku-ya-miungu-ukimdhulumu-lazima-ufe.2295616/
 
Kweli dogo umechanganyikiwa.Mimi nishindwe kapanga chumba? Au unataka kuosha nyota kwa ephen wangu? Ambacho ningependa kukwambia ni kuwa hata ephen Mwenyewe anafahamu kuwa wewe ni sifuri kichwani.
Kwani uongo dadako akitoa mzigo kwa danga lake unaishia kusonya tu.
 
Ujinga tu
Ila we jamaa bonge la boya halafu unapenda kupamba na kushobokea watu hivi uko timamu kweli?
Ulianza na Tulia Ackson, Mama Samia ukaja kwa Makonda na sasa hivi umehamia kwa Mbowe. Aisee una tatizo sana we jamaa 🀣🀣🀣
 
Acha fitina ww chawa wa mbowe, inashangaza tangu lini ccm ikawa na huruma na chadema## mbowe must go
 
Utakuwa unaharakisha unabii wa Kipanya, ule wa makaburi mawili, na mchimbani yupo hemani aamekalia mgongo, pembeni yake kukiwa na sufuri ya supu inatokota
 
Jerk of all traders master of non
Yaani we bwana Mara ububujikwe na Machozi kwenye Chama Mara Sasa hivi upo na mwamba tena unakuja na ushauri kwa Chama pinzani eti kinachafuliwa....πŸ˜€
Kikichafuka wewe si ndio utabubujikwa zaidi Baada ya ushidi wa kishindo??? 🀣
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 

Attachments

  • 1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 0
Leo wanaccm ndio watu wa kuishauri cdm? Anyway Mbowe kachokwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…