The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Yule tapeli chawa wa samia alizingua sana.Safari hii be mkubwa haalikwi tena
Hii nayo ni habari? Inatuhusu nini?Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema kuwa tarehe 8 Machi baraza hilo linatarajia kudhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam.
Hayo ameyasema leo tarehe 23 Februari 2024, wakati anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.ambapo amesema kuwa katika maadhimisho hayo yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA
Sharifa amesema kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni 'harakisha usawa wa kijinsia kwa maendeleo endelevu'.
View attachment 3246348
Watu wameshtukia ule ulaghai wa 4R naona na yeye kagundua watu wamemshtukia siku hizi yuko kimya simsikii tena na 4R zake.Safari hii be mkubwa haalikwi tena
4R ilikuwa ni mbinu ya Samia kuwapumbaza wafadhii na wapinzani. Kiasi kikubwa kafanikiwaWatu wameshtukia ule ulaghai wa 4R.
Tulimuamini kuwa ataachana na wahafidhina wa Chama chake na tukajua kuwa yeye atafuata progressive politics sasa haaminiki tena.4R ilikuwa ni mbinu ya Samia kuwapumbaza wafadhii na wapinzani. Kiasi kikubwa kafanikiwa
Yule ni Delila wa bibilia,JPM alijisahau yaliyomkuta, chato watasimulia miaka 1004R ilikuwa ni mbinu ya Samia kuwapumbaza wafadhii na wapinzani. Kiasi kikubwa kafanikiwa