Tundu Lissu anatengeneza Basement; 2050 yupo ajaye. Anatokea chama gani hakuna ajuaye

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjamboni Wote!

Pamoja na harakati zake zote lakini Lisu sio Yule Mpakwa mafuta atakayekikalia kiti na kuiweka nchi katika Mstari Sahihi.
Na hapa tunazungumzia Mstari wa Haki utakaowapa Uhuru na Amani ya kweli.

Mambo ya sijui unanijua Mimi ni nani hayo hayatakuwa na nafasi.

Maisha ya watu wote yatakuwa salama.
Hayatakuwa juu ya uamuzi wa mtu mmoja au kikundi cha watu ambao kwa sasa wanaweza kuamua na kuagiza Leo kamkamateni Taikon, mumteke, mumuumize, kisha mumuue na kumtupa huko akaliwe na mchwa na wadudu.

Maisha ya watu yatakuwa chini ya Sheria z haki walizoziweka wao wenyewe.

Lisu ni sehemu ya watangulizi WA mtu huyo.
Katiba mpya itapatikana 2047 kwa namna gani sijui.

Mtibeli!
 
Kwanini mnaamini Ccm haiwezi kutoka madarakani hadi 2050.

Sisiemu wamefanikiwa kutawala fikra.

Binafsi itakapofika zamu ya 1990s ku-hold power ndo itakuwa first and end ya Ccm.
 
Hamjamboni Wote!

Pamoja na harakati zake zote lakini Lisu sio Yule Mpakwa mafuta atakayekikalia kiti na kuiweka nchi katika Mstari Sahihi.
Na hapa tunazungumzia Mstari wa Haki utakaowapa Uhuru na Amani ya kweli.

Mambo ya sijui unanijua Mimi ni nani hayo hayatakuwa na nafasi.

Maisha ya watu wote yatakuwa salama.
Hayatakuwa juu ya uamuzi wa mtu mmoja au kikundi cha watu ambao kwa sasa wanaweza kuamua na kuagiza Leo kamkamateni Taikon, mumteke, mumuumize, kisha mumuue na kumtupa huko akaliwe na mchwa na wadudu.

Maisha ya watu yatakuwa chini ya Sheria z haki walizoziweka wao wenyewe.

Lisu ni sehemu ya watangulizi WA mtu huyo.
Katiba mpya itapatikana 2047 kwa namna gani sijui.

Mtibeli!
Hahahaaa.... Lissu kama Yohana
 
Back
Top Bottom