Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo.
Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako.
Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na Palestina Donald Trump amepita mule mule.
Kule Ukrain na Russia hawatatulia mpaka wafate ushauri unaofanana na ule aliotoa.
Hata hili la Congo linahitaji mtu brave, mzalendo, mwenye kujali utu na asiyetumia nguvu kuleta utulivu bali Hekima, uongozi na mazungumzo.
Pia soma:
Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!
Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
Wakati wa Patrice Lumumba na kina Mobutu Seseseko Kuku wa Zebanga Mtanzania aliyekuwa akiaminika kwa Peace Mediation alikuwa Mwl Nyerere. Sasa tumepewa zawadi nyingine tuitumie.
Let him step in International Affairs and Negotiate for World Peace.
Hii ni Hazina ndugu zangu.