Tundu Lissu anzisha chama cha siasa, una kiwango kizuri cha ushawishi

Tundu Lissu anzisha chama cha siasa, una kiwango kizuri cha ushawishi

Wendawazimu ndo wanampuuza TL ila ni miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa sana TZ
 
Unavyoandika uko very serious... Yani nchi hii iko serious ki hivyo...
Watu wanaiba kura tu.
 
Hapana simshauri aanzishe chama, abaki tu chadema kama Alivyofanya Mnyika alivyoletwa Lowassa, alisusa ila hakuhama chama mpaka walipompa Ukatibu na amerejea.

Lissu will outlive Mbowe politically, miaka 5 ijayo Mbowe atakua kituko tu kama Lipumba so Lissu akirudi kugombea 2029 atashinda kwa kishindo. Kama alitoka ICU na akapewa fomu ya urais naamini akivumilia miaka 5 hii atakuta njia nyeupe.
 
Yani vyama vyote hivi bado tunahitaji vyama vipya vingine vya siasa? hakuna chama ambacho utakuta mvutano wa hapa pale ni mambo ya kawaida kwenye chama, so kuanzisha chama ni mawazo mfu ,
Ndugu yangu ,chice variable ,safari hii mnatunanga sana ,mda mwalim ,ukifika mda wenu tusipangiane spana za kutumia , ila binfsi nimependa ichi , hakuna sababu ya kutekana, au Uwawa kisa mtu flani yupo na msimamo wake binafsi ni ushamba , chadema inaenda vuka salama tu , zam yenu inakuja , niwapongezeni kwa kutuwashia moto kipindi ichi ubaya ubwela ,tutaelewana ,mapema mda nitachagua kambi yangu japo mie sio ccm na wala siwezi kuwa chahwa wa ccm, twende kazi

Note
Form moja ya Mgombea ccm ayo mawazo mwisho chalinze, kila atapimwa kwa mzani uliosawa, na mdahalo lazima ,mbwai mbwai
 
Back
Top Bottom