Hapana simshauri aanzishe chama, abaki tu chadema kama Alivyofanya Mnyika alivyoletwa Lowassa, alisusa ila hakuhama chama mpaka walipompa Ukatibu na amerejea.
Lissu will outlive Mbowe politically, miaka 5 ijayo Mbowe atakua kituko tu kama Lipumba so Lissu akirudi kugombea 2029 atashinda kwa kishindo. Kama alitoka ICU na akapewa fomu ya urais naamini akivumilia miaka 5 hii atakuta njia nyeupe.