PreGE2025 Tundu Lissu apokelewa kwa furaha na Vifijo Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Utaniambia baada ya uchaguzi. Watanzania wengi ni wanafiki
 
Mbona wafuasi wa chadema ni wengi nchi nzima Ili Hali hawana viongozi walio chaguliwa kupitia serikali za mitaa 2024?

Kuna dalili wakigoma kuongozwa, na viongozi wa CCM , kutatokea shida kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…