msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
Leo Katika Mahojiano ya Tundu Lissu na mwandishi wa Jambo Tv kiukweli nimefurahishwa Sana na majibu Tundu Lissu hii ni ishara Kabisa Tume ya Maliziano ya Kisiasa imefanya kazi yake.
"IGP na Mapolisi wetu ni wazoefu katika Kuchambua na kupata taarifa hivyo kuundwa kwa Tume hiyo naamini tutapata matumaini mapya, hakuna nchi isiyokosa matatizo hapa duniani ndo maana tume zipo kwa ajili ya kutatua hayo matatizo, nampongeza Mhe. Rais kwa jambo hilo." Tundu Lissu
=====
UPDATES: 02 Feb 2023
=====
Moderator: Taarifa ya Lissu kusifia Kuundwa kwa tume ya Haki Jinai ni uzushi.
Tundu Lissu amekosoa mfumo wa Haki Jinai kwa kueleza kuundwa kwa tume hiyo hakuna maajabu kwa kuwa kuna matatizo ambayo yameshakuwa makubwa kiasi kwamba kuyaundia tume ni kupoteza muda na Fedha za umma.
Pia soma: Tundu Lissu Apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai