Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Kwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha
Nawasilisha