Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Aliyechoka zaidi ni yule anayejibu hoja zake...inaitwa fighting backKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha