Sikujua kama Yohana anaweza kuwa na sauti ya unyenyekevu kama ile aliyoionyesha Tabora leo.No retreat no surrender.
Yohana aliamini atakuwa anapita kusalimia, sasa anazunguka kujibu hoja za wakili msomi.
Haahaa kampeni zina vituko sana, jpm mpaka alidondoka na kuzimia...[emoji2960]View attachment 1576544
Yohana amezidiwa. Anatafuta huruma.Sikujua kama Yohana anaweza kuwa na sauti ya unyenyekevu kama ile aliyoionyesha Tabora leo.
Sizani Kama unajua kusoma mkuu.Mungu yupi wakumbariki?aliyliyeMpinga mtu aliyemtanguliza MUNGU kpnd cha COVID19. Me nasema MUNGU Msamehe Huyu LISU maana hajui alitendalo, umekwakoa na Risasi sta bado hakupi wee nafasi nafsinimwake. Mwenyez mrehemu MTU huyu
Kapigwa zengwe kutumia chopaKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha
Lissu akomae ,anampiga Jiwe kichwaniKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha
Kwani wewe ndo Lisu?Lakini umesema kuwa Lissu ni kibaraka wa mabeberu (mambuzi dume) Sasa mimi kukuita wewe kibaraka wa mang'ombe dume (mafahali) umeona nongwa! Tusi lako ulilomtukana Lissu halina tofauti na la kwangu!
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tuKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tuLissu ni kibaraka ya mambemberu
Upo sahihi kabisa naunga mkono hoja Kamanda wa anga aingie kazin kumpa kampani TAL. Ofisini abakie JJM (KM) akiendelea kuratibu mipango ya UshindiKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha