Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apumzike kampeni kidogo, anaonekana kuchoka

Mungu yupi wakumbariki?aliyliyeMpinga mtu aliyemtanguliza MUNGU kpnd cha COVID19. Me nasema MUNGU Msamehe Huyu LISU maana hajui alitendalo, umekwakoa na Risasi sta bado hakupi wee nafasi nafsinimwake. Mwenyez mrehemu MTU huyu
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tu
 
Kiufupi Lissu aliweza kuhimili risasi 16... imagine!

na hakuchoka vije hii ya kuongea

halafu kuongea ndio fani yake kama wakili msomi
 
[emoji23][emoji23] Lissu anachekesha kwa kweli, ila ndo ivyo acha aonyeshe ka ukomavu wa siasa japo Bado sana
 
Utaambiwa wewe mganga wa kienyeji maana upinzani wanajitoa akili, hadi hawawezi kutambua kuwa mwenzao kachoka.
 
Mungu yupi wakumbariki?aliyliyeMpinga mtu aliyemtanguliza MUNGU kpnd cha COVID19. Me nasema MUNGU Msamehe Huyu LISU maana hajui alitendalo, umekwakoa na Risasi sta bado hakupi wee nafasi nafsinimwake. Mwenyez mrehemu MTU huyu
Nani alimtanguliza Mungu? Ile ni PR stunt tu ila trust me kati ya watu waliozindikwa na Nguvu za giza nchini ni huyo Mzee wenu. Ko mnaposema mcha Mungu huwa sielewi mna standard zipi?
 
Usihofu, Membe naye ataanza kupanda kwenye majukwaa ya CDM kazi ndiyo kwanza inaanza!
 
Tundu Lissu alipigwa risasi miguuni tu, yuko fit!! Siyo kama wa kwenu anayepumua kwa kusaidiwa na kiberiti (paxemaker), huyo ndiye anahitaji mapumziko
 
 
Mungu azidi kumtangulia kipenzi chetu.. akiweza kwa kweli apumzike kidogo baada ya Kagera. Halafu ataendelea. Safari aliyokwisha zunguka nayo ni ndefu mno bila mapumziko.
 

Kweli asee, jamaa kachoka.. kuna picha nimeona anagonga mo extra.... dah... ila wanasemaga jambo jema lahitaji ujiumize kulipata..... na bila shaka analipata.
 
ushauri na maelekezo kwa mgombea wa chadema ni mwingi kuliko wakati wowote
Kuna kitu hakipo sawa,lissu anaogopa ataambiwa kafulia,
Afya ni muhimu
 


umenkumbusha mbowe alivompigia kampeni lowasa kwa nguvu zote sasa sjui huu mwaka imekuaje, haonekani kabisa
 
Lazima achoke maana anatumia nguvu nyingi sana kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…