Aliyechoka zaidi ni yule anayejibu hoja zake...inaitwa fighting backKwa wanaoendelea kufuatilia mikutano ya CHADEMA watakuwa wameliona hili. Lissu sasa amechoka. Sauti inaelekea kukauka. Akiendelea mfululizo hivi atapoteza sauti. Mwenyekiti ingia uwanjani ili Lissu apate muda wa kuhutubia na muda wa kutulia kulinda sauti na mwili.
Nawasilisha
Huko Bukoba ni balaa leo. Sio bure Lisu Ana nguvu za ziada tumuache tuLazima achoke maana anatumia nguvu nyingi sana kuongea
Sky nirushie inbox nimsikilizeSikujua kama Yohana anaweza kuwa na sauti ya unyenyekevu kama ile aliyoionyesha Tabora leo.
Marehemu maa yakoMungu yupi wakumbariki?aliyliyeMpinga mtu aliyemtanguliza MUNGU kpnd cha COVID19. Me nasema MUNGU Msamehe Huyu LISU maana hajui alitendalo, umekwakoa na Risasi sta bado hakupi wee nafasi nafsinimwake. Mwenyez mrehemu MTU huyu
Ngozi ya kondoo,Sikujua kama Yohana anaweza kuwa na sauti ya unyenyekevu kama ile aliyoionyesha Tabora leo.
Wanaongozwa Wana akili kuliko wanaotawalaUnapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tu