Qmmk!Write your reply...hajatandikwa hata viboko hata vitano tu ili akapumzike lumande
pumbavuWrite your reply...hajatandikwa hata viboko hata vitano tu ili akapumzike lumande
imhotep kumbe yupogo? Naona kalike uzi.Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025.
Kesi hiyo ilikuwa ikiunguruma leo Oktoba 10, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo Lissu alikuwa akimhoji shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri.
Kusoma ushahidi uliotelewa na Shahidi wa pili upande jamhuri Inspekta wa jeshi la polisi John Kaaya soma......
Zaidi Soma: Kesi ya uhaini ya Lissu kuendelea leo Oktoba 10, 2025, Mshitakiwa kumuuliza maswali ya dodoso shahidi wa 2 Inspekta wa polisi John Kaaya
KLMY