Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.

Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata wewe ukiishi miaka kadhaa huko utakuwa na haki ya kupewa hati ya ukaazi.
 
Mbona alikimbilia ubalozi wa Ujerumani kama mkimbizi? Wadanganye mbumbumbu wenzio wanasaccos!
Sasa angeondokaje hapa huku mnamuwinda?All ni all ni kwamba karudi Ubelgiji kwasababu ya usalama wake ila haihitaji kuomba hifadhi ya kisiasa kwasababu teyari ana ruhusa ya kuishi Ubelgiji.
 
Hata wewe ukitaka, unaweza kwenda. Niliishi Brussels kwa miaka 2 ya masomo. Na nilikuwa na kibali cha ukaazi. Masomo yalipoisha, nikarudi Tanzania. Hakuna la ajabu.

Akina Mandela, Thabo Mbeki, Sam Nujoma, Eduardo Mondlane na wengine wameishi Tanzania. Nyerere aliwapa pasipoti ya Tanzania kusafiria. Hali iliporuhusu, wakarudi kwao wakiwa mashujaa.
 
Sasa angeondokaje hapa huku mnamuwinda?All ni all ni kwamba karudi Ubelgiji kwasababu ya usalama wake ila haihitaji kuomba hifadhi ya kisiasa kwasababu teyari ana ruhusa ya kuishi Ubelgiji.
Sema kuwa ameshapata uraia wa kikimbizi huko na tunajua mapema tu amekimbia kesi zake. Alijua kesi yake ilikuwa inaendelea tarehe 3/12/2020 na tiketi yake ya kurudi Ubelgiji ilikuwa 18/12/2020. Ngoja waendelee na kesi zake akiwa nje ya nchi then hukumu itolewe akiwa nje ili akirudi tu anaingia mlupango.
 
Back
Top Bottom