johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema ni kibaraka!So what?
Still ni mtanzania period.!
Mbona alikimbilia ubalozi wa Ujerumani kama mkimbizi? Wadanganye mbumbumbu wenzio wanasaccos!Hii imo tangu jana na alisema ana ruhusa ya kuishi nchini humo na sio kaenda kuomba hifadhi ya kisiasa
Kibaraka LissuAll the best Lissu
Kibaraka Lissu
Sasa angeondokaje hapa huku mnamuwinda?All ni all ni kwamba karudi Ubelgiji kwasababu ya usalama wake ila haihitaji kuomba hifadhi ya kisiasa kwasababu teyari ana ruhusa ya kuishi Ubelgiji.Mbona alikimbilia ubalozi wa Ujerumani kama mkimbizi? Wadanganye mbumbumbu wenzio wanasaccos!
Kibaraka wa bmkubwa wako?Sema ni kibaraka!
Mimi nimeisikia leo bwashee!Hii habari ipo mitandaoni tangu jana na alisema ana ruhusa ya kuishi nchini humo na sio kaenda kuomba hifadhi ya kisiasa bali tayari ana ruhusa kuishi nchini Ubelgiji.
Hii umeelewaje mleta mada? Siyo kwamba ni raia wa Ubelegiji.ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.
Sema kuwa ameshapata uraia wa kikimbizi huko na tunajua mapema tu amekimbia kesi zake. Alijua kesi yake ilikuwa inaendelea tarehe 3/12/2020 na tiketi yake ya kurudi Ubelgiji ilikuwa 18/12/2020. Ngoja waendelee na kesi zake akiwa nje ya nchi then hukumu itolewe akiwa nje ili akirudi tu anaingia mlupango.Sasa angeondokaje hapa huku mnamuwinda?All ni all ni kwamba karudi Ubelgiji kwasababu ya usalama wake ila haihitaji kuomba hifadhi ya kisiasa kwasababu teyari ana ruhusa ya kuishi Ubelgiji.
Kumbe unajua eeh!!Kibaraka wa bmkubwa wako?