Serikali ya Tanzania inakataa uraia pacha kwa Watanzania halisi waliozaliwa na kukulia Tanzania ambao kila siku wanatuma mamilioni ya pesa nyumbani, kufungua miradi na kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini wanawakubalia raia wa Caribbean kukaa Tanzania bila ya Visa. Huu ni ujinga wa hali ya juu unaofanywa na serikali ya CCM.
Sasa unadhani hii wanamkomoa nani zaidi ya kupunguza ongezeko la vitega uchumi kwa nchi na upatikanaji wa ajira kwa raia wengi.Na ndiyo mmezidi kuwapa sababu ya kuukataa zaidi uraia pacha, ...
Hakuna mtanzania aishiye nje anaweza kuja na mtaji wa maana wa kuwekeza Tanzania ni uongo wa hali ya juu! By the way mtu yeyote anaruhusiwa kuwekeza hapa TZ awe Mtanzania ama la!Serikali ya Tanzania inakataa uraia pacha kwa Watanzania halisi waliozaliwa na kukulia Tanzania ambao kila siku wanatuma mamilioni ya pesa nyumbani, kufungua miradi na kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini wanawakubalia raia wa Caribbean kukaa Tanzania bila ya Visa. Huu ni ujinga wa hali ya juu unaofanywa na serikali ya CCM.
Hii habari ipo mitandaoni tangu jana na alisema ana ruhusa ya kuishi nchini humo na sio kaenda kuomba hifadhi ya kisiasa bali tayari ana ruhusa kuishi nchini Ubelgiji.
Sasa unadhani hii wanamkomoa nani zaidi ya kupunguza ongezeko la vitega uchumi kwa nchi na upatikanaji wa ajira kwa raia wengi.
Hii mentality ni ya kijinga sana na inaonyesha jinsi mlivyokuwa na mavichwa makubwa huku akili hamna hata kidogo. Hivi unadhani kila mtu lazima aje na mtaji wa dola milioni 1 au zaidi? Kuna watu wengi wana uwezo wa kufungua small businesses ambazo mara nyingi hutoa ajira kwa wengi na mtaji wake huwa si mkubwa sana. Marekani yenyewe uchumi unaendeshwa kwa kiasi kikubwa na wafanyabiashara wadogowadogo.Hakuna mtanzania aishiye nje anaweza kuja na mtaji wa maana wa kuwekeza Tanzania ni uongo wa hali ya juu! By the way mtu yeyote anaruhusiwa kuwekeza hapa TZ au Mtanzania ama la!
Hujawahi kuishi huko wewe! Mtu mweusi ulaya na Marekani hasa ambaye siyo raia wa kuzaliwa is nothing!! Huwezi ukatoka na pesa na kuja kuwekeza huku Afrika. Zipo nchi za Afrika zilizo na dual citizenship nipe mfano mmoja tu Mwafrika aliyeko Ulaya au Marekani ambaye amepata pesa huko akajakuwekeza nchini mwake? Sana sana atakuwa anatoa pesa Afrika na kupeleka kwa mabeberu. Sisi wengine tuna uzoefu na huko mkuu! Acha mambo ya kusikia wanaotaka dual citizenship zaidi zaidi ni wahindi ili watumie nafasi hiyo kuiba kirahisi huku Afrika na kupeleka Ulaya na USA kama wakina Manji.Hii mentality ni ya kijinga sana na inaonyesha jinsi mlivyokuwa na mavichwa makubwa huku akili hamna hata kidogo. Hivi unadhani kila mtu lazima aje na mtaji wa dola milioni 1 au zaidi? Kuna watu wengi wana uwezo wa kufungua small businesses ambazo mara nyingi hutoa ajira kwa wengi na mtaji wake huwa si mkubwa sana. Marekani yenyewe uchumi unaendeshwa kwa kiasi kikubwa na wafanyabiashara wadogowadogo.
Check her passport, he used a travel document. That means he is declared refugee in any definition. Amesha turudishia passport yetu.
Mpayukaji tu huyo.
TL anakupa makavu live, mpayukaji na yeyote mwenye akili TIMAMU anajua pasipo kujipendekeza ni Jiwe.Check her passport, he used a travel document. That means he is declared refugee in any definition. Amesha turudishia passport yetu.
Mpayukaji tu huyo.
Ndio maana umesoma meku!Rubbish, is this news umeona ulete hapa
Canada na Australia hawazungumzi Kisukuma wala hawataki vilaza wa Tanzania wenye PhD za jalalani ambao hata hapa hawaajiriki ndo maana wanatafuta uteuzi humu kwa kuunga mkono juhudi zisizokuwepo. Ubelgiji wanazungumza Kifaransa na msomi Mh. Lissu anakubalika popote duniani maana anajua lughà nyingi isipokuwa Kisukuma na Kitutsi. Bure elimu ni bure kabisa!Kama unataka connection ya kwenda kuishi Canada na Australia sema, achana na kumuonea wivu Lissu kwa kwenda zake kuishi mamtoni!
Umeshawahi kusoma kitabu cha The Art of War cha Tsu Nzu?Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.
Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Unamuuliza Tundu Lisu au Zuhura Yunus?Umeshawahi kusoma kitabu cha The Art of War cha Tsu Nzu?