Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

Kanuni inasema walau mikoa 2 zenji kwa hiyo sio lazima
 
Mikoa ya Unguja yote mitatu unaizunguka kwa kutumia miguu siku moja
 
Inatakiwa mikoa 10 tu minimum, sio lazima yote. Maana ukiacha Zanzibar Kuna Kigoma, Kagera, katavi, Rukwa, Lindi, Mtwara, Ruvuma n.k ambalo hajafika.
 
Huko kwingine wadhamini wanajitokeza bila jamaa kwenda, mbona Jiwe na Membe hatuwaoni wakizunguka.
 
Hahaha lissu anapenda kutokea juu ya gari na kupungia wananchi
 
John, vipi JPM yeye alishaanza. Maana namuona yupo bize tu na wajumbe. Muda ndo unaisha huo.
 
Hatua njema. Tumekiri wenyewe pasi na shaka kuwa Tanganyika wanamshangilia.

Habari ndiyo hiyo.

Cc: jiwe, slow slow, bashiri, lb7.

Maendeleo hayana chama!
 
Back
Top Bottom