johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa siyo uadui manka!Usimuamshe aliyelala
Unaelewa maana ya " walau" bwashee?Kanuni inasema walau mikoa 2 zenji kwa hiyo sio lazima
Mmh! Mkuu "walau" haina maana hiyo.Kanuni inasema walau mikoa 2 zenji kwa hiyo sio lazima
Mbona Magufuli hajatembea mkoa hata mmoja na muda unayoyoma? Au huoni hilo.Unaelewa maana ya " walau" bwashee?
Akisema walau hiyo ni minimum kwa hiyo ni lazimaKanuni inasema walau mikoa 2 zenji kwa hiyo sio lazima
Si form za kusaini zinaweza kupelekwa kwa posta huko, watu wakasaini na zikarudishwa kwa EMS? Au kuna tatizo ikifanyika hivyo.Intelejensia yangu inaniambia Zenji ameshafika..
Hivi kwanini watu huwa mnapenda kujidanganya? Anapata Hashimu Rungwe itakuwa Tundu Lissu?Zanzibar apati ata wazamini 10