Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

Inatakiwa mikoa 10 tu minimum, sio lazima yote. Maana ukiacha Zanzibar Kuna Kigoma, Kagera, katavi, Rukwa, Lindi, Mtwara, Ruvuma n.k ambalo hajafika.
Lazima miwili iwe Zanzibar,we acha akomae na Bara tuu yatamkuta
 
Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar.

Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia.

Niishie hapo!

Maendeleo hayana vyama.
Umesikia matatizo ya mgombea wako?😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…