Tundu Lissu asisitiza Katiba Mpya, Kurejea Nchini siku yoyote kuanzia sasa

We jamaa , kama ule ulikuwa uchaguzi mbona wewe uliambulia kura Sifuri yenye masikio ?
Tofautisha uchaguzi na mchakato wa kuomba kuteuliwa na chama chako kuwa mgombea. Mimi niliomba kuteuliwa na chama changu kuwa mgombea. Mchakato wa ndani wa CCM unahisisha mambo mengi, likiwamo suala la kujitambulisha Kwa wajumbe wakuone na wew e uwa 'waone'. Mimi sikujitambulisha kwa wajumbe na siku 'muona' mjumbe yeyoye. Matokeo yake ndio hayo kupata kura moko!.
P
 
Kwani wameshatimiza masharti yake?
 
Ni porojo kama porojo zingine tu.
 
Tunawatoa usingizini vijana hawajui kuwa wanatumika bila sababu nguvu wanayotumia kubishana na kutumwa tumwa ovyo wangeitumia kufanya shughuli za kuwaletea kipato ingewasaidia sana na wangemuelewa mama
Kipato kinachokombwa na tozo kulipia fidia ya mikataba mibovu.
 
CHADEMA daima
Your browser is not able to display this video.
 
Muda mwafaka wa vyombo vya habari kutajirika huu huwezi kutana na habari ya LISU isiwe front page na gazeti usinunue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…