Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Lissu anaweza kuua vzur tu,ukishakuwa mtawala mauaji mengine yanafanyika pasipo wewe kutoa amri,sasa inabid upambane na watu wako kuwazuia
Bilionea Sugu πππKama Magufuli alikuwa Rais unadhani nani mwingine atashindwa?
Ingekuwa sio cha kufanyia majaribio ccm wasinge teuwa vichwa maji wawili kuwania uraisi 2015. Na vichwa maji hao wamekuwa maraisi. No wote kwa wakati tafauti mmoja Kawa jiwe, na mwingine Kawa chura badala ya kuwa raisi.Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Bilionea Sugu πππ
Wewe uaneshinda mitandaoni kumsifia Mzee Mbowe ndio unajiona unazo akili eheeπββοΈπββοΈπββοΈHujui kitu wewe
Sugu ni Bilionea?Bilionea Sugu πππ
NdioSugu ni Bilionea?
Balozi wa Marekani hawezi kuwa na Rafiki maskini ππSugu ni Bilionea?
Tunaongozwa na watu wa hovyo snMbona tumejaribu mwanamke na tulijaribu wengine madikteta na wachekaji tu na wakamaliza miaka yao! Hakuna kitu chenye uhakika maishani kila kitu ni majaribio na calculated risks! Bila kutake risks hamnaga development. Na ccm haitakagi maneno laini boss ni kama quarterpin ya baiskeli bila nyundo hutakaa uione inalegea
Hana hana urafiki na Abduli?Balozi wa Marekani hawezi kuwa na Rafiki maskini ππ
Nondo? ππHana hana urafiki na Abduli?
True, 2020 nilifanya utafiti kidogo Unguja na bara ni kweli tupu wengi walikuwa ni mapandikizi kabisa hujakoseaShida unakuta nusu ya wakala wa cdm ni mapandikizi ya ccm, na hapo wengi washapewa mlungula
SijakuelewaNondo? ππ
Abdul Nondo wa ACT Wazalendo πSijakuelewa
Hivi amesharudi kutoka kwa wanaume wake mabeberu!?Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.
Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.
Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.
View attachment 3123321View attachment 3123322
Hii kitu ni kweli ndiyo hapa CCM huwa wanawapa 20,000 za kwenda kula na hapo ndiyo wale watu ambao walijiandikisha na hawakuja kupiga kura kura zao huwa zinaandikishwa, wanakosea sn kutowapa hela za kula mawakala, 2020 nilifanya utafiti mdogo Unguja na bara hii kitu ni kweli tupu.chadema toeni huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wenu vituoni sio ubinadamu kumshindisha wakala kituoni kuanzia saa 2 hadi 12 jioni pasipo walau chochote kitu tumboni