Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Lissu anaweza kuua vzur tu,ukishakuwa mtawala mauaji mengine yanafanyika pasipo wewe kutoa amri,sasa inabid upambane na watu wako kuwazuia
Tunatazama pia hulka na historia, sifa yake tangu akiwa kijana ni kusimamia sheria, kwa Lissu hamna chawa wala ujanjaujanja ni sheria mbele hata Mkapa na Jk wanamjua vema