LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwanini mumeo naye asinzishe chama mtafune?
Anaogopa zambi Mangi ,kudanganya wananchi maskini kuwa wakunje ngumi wakati wewe unawaibia sio tabia nzuri kabisa na malipo ni hapa hapa duniani ndio maana utajiti aliacha Mzee Aikael Mbowe unapuputika siku hadi siku.LAANA ni mbaya jamani.
 
Sasa wewe dada angu una akili gani?
Nimeweza kujitambua ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee Mbowe kama ulivyo unakesha mitandaoni kudanganya umma kuwa chadema wanao ubavu kuchukua uongozi wa nchi.MKUU Acha kuvuna zambia aiseeπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Reactions: Tui
Kwa tunaomjua Tundu Lissu tokea akiwa anafanya kazi ya ualimu Bondeni Secondary School Arusha hatushangazwi na kelele zake.He is just kicking air.
 
Kwa uoga walionao wanachama wa chadema sijui kama wakala mwenye sifa hizo atapatikana
 
Kwa uoga walionao wanachama wa chadema sijui kama wakala mwenye sifa hizo atapatikana
Yeye mwenyewe aliezitoa hana hizo sifa sasa utawezaje kupata msukule mwenye hizo sifa?
 
19 Oct wenye hiyo ubaya ubwege wanakula Nondo za makalioni na nyie CHADEMA 27 Nov mnakula Nondo sawa na hao mliko copy uo Ubaya ubwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…