LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwanini mumeo naye asinzishe chama mtafune?
Anaogopa zambi Mangi ,kudanganya wananchi maskini kuwa wakunje ngumi wakati wewe unawaibia sio tabia nzuri kabisa na malipo ni hapa hapa duniani ndio maana utajiti aliacha Mzee Aikael Mbowe unapuputika siku hadi siku.LAANA ni mbaya jamani.
 
Sasa wewe dada angu una akili gani?
Nimeweza kujitambua ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee Mbowe kama ulivyo unakesha mitandaoni kudanganya umma kuwa chadema wanao ubavu kuchukua uongozi wa nchi.MKUU Acha kuvuna zambia aisee🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kwa tunaomjua Tundu Lissu tokea akiwa anafanya kazi ya ualimu Bondeni Secondary School Arusha hatushangazwi na kelele zake.He is just kicking air.
 
Kwa uoga walionao wanachama wa chadema sijui kama wakala mwenye sifa hizo atapatikana
 
Kwa uoga walionao wanachama wa chadema sijui kama wakala mwenye sifa hizo atapatikana
Yeye mwenyewe aliezitoa hana hizo sifa sasa utawezaje kupata msukule mwenye hizo sifa?
 
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.

Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.

Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.

View attachment 3123321View attachment 3123322
19 Oct wenye hiyo ubaya ubwege wanakula Nondo za makalioni na nyie CHADEMA 27 Nov mnakula Nondo sawa na hao mliko copy uo Ubaya ubwege.
 
Back
Top Bottom