LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Busara ,weledi na utulivu wa mama ni sfa ambazo lissu hana na hakuzaliwa nazo mkuu(bahati mbaya)
hata lissu angekuwa hakutani na madhila anayokutana nayo angekuwa mtulivu sana ......
 
Utulivu unazaliwa nao mkuu,hivi unajua Lissu alikuwa abaki chuo kikuu kama mhadhiri baada ya kufaulu vizuri ila wagoma kumchukua shauri ya kukosa utulivu?
 
Mkuu vaa viatu vyake.....kuwa mpinzani africa sio kazi rahisi....hata walio madarakani wangekuwa wapinzani ungeona kama wangekuwa watulivu....cheki covid 19 siku hizi umeona wana hekaheka kama zamani(nadhani utanielewa)....
 
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.

Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.

Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.

View attachment 3123321View attachment 3123322
Ndo wa kupewa nchi huyu??? Eeeh nyie mnacheza kweli...! Ati mnadhani hii nchi ya kuchezewa ....
 
Basi wape wanaosema kifo ni kifo tu, hicho kijikura chako kimoja hakitaokoa chochote
 
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.

Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.

Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.

View attachment 3123321View attachment 3123322
Ukipata nafasi ya kukutana naye, au kuwasiliana naye, mwambie, katika mafunzo hayo awasisitizie wahusika ukweli kuwa:Wizi wa kura, au jambo lolote linalo haribu kura za wananchi, huo ni "UHALIFU" ulio wazi.
Ni jukumu la raia kuzuia UHALIFU mahali popote unapo fanyika na yeyote anaye ufanya, bila kujali katumwa na nani.

Kura za wananchi kuvurugwa ni kuwanyima HAKI wananchi hao. HAKI haiombwi.
 
Shida unakuta nusu ya wakala wa cdm ni mapandikizi ya ccm, na hapo wengi washapewa mlungula
Hapo tu ndipo penye shida kubwa inayo wakabili CHADEMA.

Hili lilihitaji semina elekezi kabambe kukabiliana nalo. Hawa watu hawakupewa maandalizi yoyote dhidi ya hatari hiyo ya kununuliwa kirahisi tu.
 
Ukipata nafasi ya kukutana naye, au kuwasiliana naye, mwambie, katika mafunzo hayo awasisitizie wahusika ukweli kuwa:Wizi wa kura, au jambo lolote linalo haribu kura za wananchi, huo ni "UHALIFU" ulio wazi.
Ni jukumu la raia kuzuia UHALIFU mahali popote unapo fanyika na yeyote anaye ufanya, bila kujali katumwa na nani.

Kura za wananchi kuvurugwa ni kuwanyima HAKI wananchi hao. HAKI haiombwi.
Ujumbe umefika
 
Mama yetu ndo kamuita Simba kabisa! Unajua mziki wa King of the jungle. Hizi ni ishara za kiroho kabisa namna perception ya watawala kwa simba
Kwenye Kampeni ya urais, huo mstari wako ni muhimu CHADEMA waupe uzito stahiki.
Wakumbushe tena kama watakuwa wamesahau.
 
Back
Top Bottom