Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe.
Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi mawakili wanataka 30% lakini Lissu amekazia hapo wakati wengine wakitaka 30% pamoja na gharama za hotel na safari hasa Sweden na USA walipo hao wamiliki.
Kwa kesi kama hizi Lissu hawezi kukosa baada ya matumizi $1.5 M mpaka $5M kwa makadirio ya chini.
Lakini inasemekana kama wakienda na kesi watadai mpaka $30M .
Bila kesi mawakili wake wataenda na $10M hivi.
Hivyo miaka miwili ijayo huyu Lissu atakuwa billionea na hata omba omba pesa za mafuta tena na inawesekana wakati huo huo atakuwa mwenyekiti wa Chama. Hapo kuna kazi