Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atashindwa uchaguzi kwasababu anahubiri utengano badala ya Umoja

Mkuu hatuna mda wakujadiri tena upumbavu and ujunga wako ...tayari case imekabidhiwa kwa wana nchi ili watoe hukumu ..hata mupige magoti its time up.Kwanza wote wenzio wakihamia CCM kutoka Chadema wanapata kacheo e.g Juliana Shonza .inawezekana ulimpiga baba au mama yako umelaniwa ndio basi tena umekuwa jini ya mipasho tuu mitandaoni.. imbecile
 
Umoja Upi...,
Umoja wa kuwaambia wakazi wa sehemu fulani wachague mtu wa kwao..., Au umoja wa kuwaambia usipochagua Chama Hiki sileti maendeleo (wakati watu wanalipa kodi)

Au Definition ya Umoja ni nini ? Ni vema utumie busara kama unakemea jambo baya kemea ubaya na sio kuwa selective..., au ubaya sio maneno bali ni kinywa kinachosema hayo maneno?
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Akili za KIZWAZWA hizi!


 
Meko anahubiri umoja au amani na uhuru toka lini..?

Meko ndio anatugawa wanachi kwenye kila kitu...! Yaani anaupendeleo wa wazi wazi na kauli mbovu kwa wanachi...
Sasa alipaswa kulichukulia hilo kwa faida kwa yeye kujiweka kama kimbilio la wote
 
Ni kweli kabisa.Mbunge anakamatwa na nyara za serikali na bunduki anapewa dhamana na kabla ya mwezi kesi imeisha.Mtu anaimba "ibarik Chadema anaozea jela miezi mitatu".Lissu hafai kabisa.
 
Unapoandika jambo tumia akili,hivi huyo mbaguzi,mwenye Roho mbaya anafanya nini la kuunganisha wananchi
 
Tatizo la washabiki wa chadema wakiambiwa point wanaishi kutukana au kupinga kwa hoja dhaifu mbona Magufuli kafanya hivi wanasahau ili Lissu awe bora kuliko Magufuli ni vyema akaacha mabaya yote ya Magufuli na akaja na mbadala wake ulio bora.
Pia anasahau mwenzake ni raais na anaweza kufanya lolote sababu vyombo vyote viko chini yake
 
Ulitaka Mbowe awaite hao wabunge wa NCCR waliotoka Chadema mashujaa?

Wewe una matatizo kichwani kama meko.
 
Shida kubwa kwa lissu ni timu yake ya kampeni.
Tunahitaji watu wengi watupigie kura ila kuhusu kushinda haiwezekan. Huu ni ukweli ambao ni wajinga tu wataukataa
Wewe ni mpumbavu unaekubali kwenda kupigana vita unayojua dhahiri utashindwa! sasa kwa nini upoteze muda wako bure?!

#idiot.
 
Sawa umetuhadaa sisi ila vipi kwa Mungu wako?
 
Ukiachana na hayo, mgombea huyo amekuwa akitoa kauli tata zisizo na staha, ikiwa ni pamoja na kuwafokea Askari Polisi kama watoto wadogo akidhani kwa kufanya hivyo atapata uungwaji mkono kumbe ndo anajiharibia kabisa.
Anafanya hayo yote ili Polisi wamguse kidogo tu ili ajifanye ameumizwa na hivyo kuudanganya Ulimwengu na Watanzania kuwa Polisi wanatumia mabavu.
Kwa kifupi ameshagundua kuwa, Mziki wa JPM siyo wa kitoto na hawezi kutoboa.
 
Mtoa mada hajitambui, jpm anahubiri utengano zaidi kuliko lissu.Leo kilichofanyika tunduma ni aibu kwa rais
 
Swala LA kukemea polis ashauriwe, ila jpm ametepeta
 
Meko anahubiri umoja au amani na uhuru toka lini..?

Meko ndio anatugawa wanachi kwenye kila kitu...! Yaani anaupendeleo wa wazi wazi na kauli mbovu kwa wanachi...
Wewe utakuwa muumini wa vyeti feki sio bure.
 
Hao wanawalipa with mbumbu kweli utombu gani unaandila
 

Mgombea wa ccm alisema kama hatochaguliwa mgombea wake wa bunge then hatopeleka maji

Hii unaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…