Tundu Lissu atembelea kaburi la Balozi Christopher Kasanga Tumbo. Asema Taifa likijitambua Kasanga Tumbo atajengewa mnara kwa ushujaa wake

Ni vizuri kufanya hivyo; Kutemblea familia na Kaburi.

Hatahivyo, mimi kama Mwananchi nitegemee Sera gani kuibuka kutoka kwa Lissu na ziara yake hiyo?
 
..Jamii Forums iliwahi kumjadili Kasanga Tumbo hapa.

Anaacha ku- authenticate Njama zake anaenda kuibua za Wengine?

Majeraha ya Bwana Mzee Tundu Lissu, naona, yanaaenda kuchokonoa vidonda na majeraha ya wengine. Huu ni uharakati unaolenga kutafuta vichwa vya habari, na kuibua njama mpya?

Tunahitaji Sera na sio Njama
 
Bila kuingilia uhuru wake wa kufanya chochote apendacho kufanya, ninakubaliana nawe moja kwa moja.

Sioni la maana sana litakalotokana na kurudi huko nyuma, na kujitambulisha na hali ya huko kwa mategemeo ya kushughulikia haya ya leo yanayotukabili sasa hivi.

Yapo mengi sana leo hii yanayohitaji kusemewa na kueleza mipango ya CHAMA hicho kuhusu maswala hayo. Sijasikia chochote juu ya hili; au pengine umepangwa muda maalum huko ndani ya chama haya matatizo ya leo yanayowakabili waTanzania yatakapoanza kuzungumziwa!

Tunaendela kuvuta subira, lakini inawezekana pia tukaishiwa na subira hiyo tukicheleweshwa sana.
 
..sijui ni wangapi wanajua Balozi Christopher Kasanga Tumbo ni nani.
Ndio maana tunasema, kama kweli Samia ana dhamira ya kufanya maridhiano aanzie huko nyuma, isangaliwe tu nani alidhuriwa na serikali awamu ya 5.

Tuangalie na watu kama kina Kasanga Tumbo kama kuna madhara walifanyiwa, serikali itoe fidia kwa familia zao.

Serikali inaweza kuanzisha dawati ofisi ya waziri mkuu litakalokuwa na jukumu la kupokea malalamiko kwa wananchi waliodhulumiwa na serikali kwa namna yoyote, kuyachambua malalamiko hayo na kuona namna gani mlalamikaji anaweza kupata unafuu/fidia.

Haiwezi kuwa kazi ngumu wala mzigo kwa serikali kwani malalamiko yatakayoshughulikiwa ni yale yatakayokuwa na ushahidi uliokamilika/unaojitosheleza.
 
Hatuna muda huo!! Tunasonga mbele.

CHADEMA ikichukua Dola ndo ifanye kazi hiyo
 
Back
Top Bottom